Mashabiki wa soka wasema wamechoka kuonewa na wauzaji wa tiketi
Mashabiki wa soka wakilalamika kuisha kwa tiketi za elfu tatu.
Baadhi ya mashabiki wa soka nchini wamelalamika kuisha kwa tiketi za shilingi elfu tatu kutoka na baadhi ya watu kununua nyingi ambazo baadae wanaziuza bei ya juu tofauti na kiwango kilichowekwa na TFF.
0 maoni:
Post a Comment