Tuesday, March 22, 2011

WANAFUNZI WA SHULE YA MAPAMBANO WAPEWA MAFUNZO YA MCHEZO WA RAGBI

                                         Wachezaji wakiwa katika mafunzo
                                     Watoto wa shule ya mapambano wakifundiswa na
                                   Mkufunzi wa mchezo wa RAGBI BENET  akiongea na mwalimu wa michezo
IDDA UISSO mkuu wa shule
Vijana 12 wa shule ya msingi Mapambanano jijini DSM wameanza mafunzo ya mchezo wa RAGA yanayotolewa na mkufunzi kutoka UINGEREZA RICHARD BENETT.
Akizungumza na TBC BENETT kutoka katika taasisi ya kimichezo ya BHUBESI PRIDE amesema wameamua kuazisha mchezo huo katika shule za msingi za Tanzania kwa lego la kukuza mchezo huo hapa nchini.

Naye mkuu wa shule ya msingi Mapambano IDDA UISSO amesema mafunzo hayo yamekuja wakati mwafaka na yatasaidia kukuza vipaji kwa wachezaji chipukizi wa RAGA kwa faida ya timu ya taifa kwa siku za usoni.

Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingine kumi za Afrika ambazo zitafaidika a mafunzo ya mchezo wa RAGA kutikakatika taasisi hiyo ya BHUBESI PRIDE ya UINGEREZA.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU