Bendera za simba zikipepea
Mashabiki wa soka wa SIMBA katika eneo la bandari jijini DSM wamechonga jeneza na kuliandika jina la TP MAZEMBE wakiashiria kuzikwa kwa timu hiyo itakapocheza mchezo wake wa marudiano na mabingwa wa soka nchini SIMBA katika mchezo wa marundiano wa ligi ya mabingwa Afrika utakaoipigwa wiki mbili zijazo kwenye uwanja wa taifa jijini DSM
Katika mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika uliopigwa jumapili iliyopita katika uwanja wa KENYA mjini lumbumbashi SIMBA ililala kwa kufungwa mabao matatu kwa moja hiyo inatakiwa kushinda kwa mabao mawili kwa bila ili ishonge mbele.
0 maoni:
Post a Comment