Tuesday, June 28, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA, SUDAN NA ZAMBIA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sudan Nchini Tanzania, Abdelbagi Hamdan Kabeir, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Juni 28, 2011 na kufanya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, John Mutinda Mutiso, wakati alipofika kumtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Juni 28, 2011. Kushoto ni Msaidizi wa Balozi, Muthomi Muithiga. Picha na Muhidin Sufiani OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga, baada ya mazungumzo wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Juni 28, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga, wakati alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam na kufanya mazungumzo leo Juni 28, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU