Wednesday, June 29, 2011

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA APOKEA ZAWADI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Duy Thien, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jumatano Juni 29, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU