Wednesday, June 29, 2011
TAMASHA LA WAZI LA FILAMU LAZINDULIWA RASMI TANGA
Tamasha la wazi la filamu Tanzania: Grand Malt Open Film Festival limezinduliwa rasmi juzi katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga,kama inayoonekana katika picha.. Wiki ya maonyesho ya wazi ya Filamu inaendelea mpaka tarehe 3 July. Maonyesho hayo ya Filamu yanafanyika kwa mara ya tatu katika historia yake





0 maoni:
Post a Comment