Anayeongea katikati ni ALL JUMA maarufu kama ALL J akiwa na baadhi ya wasanii akiongea na waandishi wa habari Jijini DSM
Baadhi ya wasanii wa kike
Baadhi ya wasanii wakiume wa 5 STARS
Mdogo wake ISSA KIJOTI aliyechukua nafasi ya KIJOTI akiimba.
Baadhi ya wasanii wa kike
Baadhi ya wasanii wakiume wa 5 STARS
Mdogo wake ISSA KIJOTI aliyechukua nafasi ya KIJOTI akiimba.
Kikundi cha taaarabu cha FIVE STARS ambacho kilipata pigo ya kufiwa na wanamuziki 13 katika ajli ya gari huko MIKUMI mkoani MOROGO leo wametangaza ramsi kuanza kambi ya kuajiandaa na maonyesho yao baada ya kukaa kimya kwa miezi mine.
JUMA amewataja wanamuziki waliowaongeza kuwa ni pamoja na MUSSA ALLY mdogo wa marehemu msaniii KIJOTI kati ya wanamuziki walifarikia ambaye alitamba na kibao cha WAPAMBE MSITUJADILI,mwanamuziki mwingine MARIAM MOHAMED.
Kundi hilo linatarajiwa ,kufanya maonyesho yake baada ya kuamaliza kambi yao ambapo wanatarajia kutunga nyimbo mpya, na hapa tupate kionjo cha mwanamuziki mpya.





0 maoni:
Post a Comment