Timu zilizotinga hatua ya robo fainali katika michuano ya KAGAME ni SIMBA, YANGA,ST GEORGE,ULINZI ,VITAL O,BUNAMWAYA,EL MEREIKH na READ SEA.
Katika robo fainali ya kwanza timu zimepangwa kucheza kama ifuatavyo.
SIMBA VS BUNAMWAYA
YANGAVS READ SEA.
ST GEORGE VS EL MERIKH
ULINZI VS VITAL O





0 maoni:
Post a Comment