Sunday, July 3, 2011

WAREMBO WA MISS TEMEKE WAENDELEA KUJIFUA

                                       Baadhi ya warembo wa miss Temeke wakijifua
                                            Hapa wakitembea
                                              Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi.

Shindano la kumtafuta mrembo wa Temeke limepangwa kufanyika Julai 16 mwaka huu katika ukumbi wa Sigara,burudani kutoka kwa B Bendi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU