Tuesday, July 12, 2011

BODI YA UDHAMINI YA PSPF YA RIDHISHWA NA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA

 Meneja wa kiwanda cha sukari cha kagera bwana Ashwin rana akiwapa wajumbe wa bodi ya pspf jinsi shuguli za uzalishaji sukari katika kiwanda cha kagera kushoto ni mwenyekiti wa uwekezaji bwana Athur mwakapugi na kulia ni naibu gavana wa bank kuu bwana Lila mkila walipo tembelea kiwanda hicho cha kagera
 Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha sukari kager bwana Nasoro Self akimuonyesha mjumbe wa bodi ya pspf bibi Edna Mangesho  chombo cha setilait kinachoongoza treka linalo andaa shamba kwa ajili ya kupanda miwa ujumbe huo ulitembelea kujionea maendeleo ya kiwanda hicho hivi karibuni.
                                     
Bwana Laiza yeye nimtalamu wa umwagilia akitoa maelezo kwa wajumbe wa bodi ya pspf jinsi mtambo wa kisasa wa umwagilia maji na mbolea katika mashamba ya miwa kagera 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU