Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Guido Herz, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

0 maoni:
Post a Comment