Kushoto ni katibu mkuu wa TFF ANGETILE OSIAH ,kati ni Rais wa CECAFA LEODGER TENGA na Katibu mkuu wa CECAFA NICOLAUS MSONYE wakizungumza na waandishi wa habari.
Mabingwa mara sita wa kombe la KAGAME timu ya SIMBA kesho inashuka dimbani kuikabili BUNAMWAYA ya UGANDA katika mchezo wa robo fainali ya pili itakayopigwa katika uwanja wa taifa.
Robo fainali ya kwanza itakayochezwa majira ya saa nane mchana itazikutanisha mabingwa wa Kenya, ULINZI itakayoteremka dimbani dhidi ya EL- MEREIKH ya SUDAN.





0 maoni:
Post a Comment