Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akimwonesha jinsi ya kupiga tumbo bondia Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM DAr es Salaam Robartanajiandaa na mpambano na Rashidi Ally utakaofanyika jumamosi ya Julay 9.(PIcha na Mpiga Picha Wetu
Sunday, July 3, 2011
MABONDIA WAENDELEA KUJIFUA
Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akiwaelekezababondia Rashidi Mhamila, YOhana Robart na Omari Bai jinsi yakupishana na kumi pamoja na kupiga wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala yanayofanyika Amana CCM.(PIcha na Mpiga Picha Wetu)





0 maoni:
Post a Comment