Friday, July 1, 2011

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NMB SABASABA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula, wakati alipotembelea na kukagua Banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa, baada ya Makamu kuzinduz maonyesho hayo rasmi leo Julai 01, 2011. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Mark Wiessinga. Picha na Muhidin Sufiani-OM
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Mark Wiessinga, wakati alipotembelea na kukagua Banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa, baada ya Makamu kuzinduz maonyesho hayo rasmi leo Julai 01, 2011. Katikati ni. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja ya Banda la Mjasiliamali wakati alipotembelea Banda la benki ya NMB. Picha na Muhidin Sufiani_OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua bidhaa za Delphine Mlambiti wa Blessing Fashion Centre, wakati akiwa ndani ya Banda la Benki ya NMB, akikagua mabanda ya maonyesho. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Mark Wiessinga. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU