Msanii nyota wa miondoko ya soul, Chaka Khan, kutoka nchini Marekani amewasili nchini mchana wa leo tayari kutumbuiza katika hafla ya Club E itakayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl Jumamosi hii.
Msanii huyo mwenye umri wa miaka 58, aliwasili saa saba na nusu katika Uwanja wa Ndege wa KImataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na anatarajiwa kutoa burudani kali siku ya Jumamosi.
Moja ya nyimbo za Chaka Khan zilizovuma zaidi ni in’t Nobody na anajulikana kwa sauti yake nyororo na yenye mvuto.
Club E huandaa shughuli mbalimbali za burudani kwa wanachama wake ambao ni wavutaji sigara wa chapa






0 maoni:
Post a Comment