Thursday, July 7, 2011

WAZIRI MKUU AKIWA KOREA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi  wa kiwanda cha kusindika samaki cha Geoje kilichopo katika mji wa viwanda  wa Geoje nchini Korea ya Kusini Juni 7, 2011 baada ya kukagua shughuli za kiwanda hicho .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua meli itakayofanya utafiti wa mafuta na Gesi kwenye  pwani ya Mtwara na Mafia inayomilikiwa na  kampuni ya PETROBAS  ya Brazil   Julai 7, 2011 . Meli hiyo iliyotengenezwa   kwenye bandari ya  Geoje nchini Korea ambako Julai 8, 2011 inatarajiwa kuzinduliwa itaweka  nanga kwenye bandari ya Mtwara miezi miche ijayo ili kuanza kazi ya utafiti wa mafuta na gesi. (Picha   na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU