Wednesday, July 6, 2011

WAZIRI MKUU NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA URUSI

 Mh waziri mkuu Mizengo pinda amekutana na bwana Sevgei Kirienko mwakilishi wa raisi wa urusi na meneja mkuu wa kampuni ROSATAM kutoka nchini urusi walikuwa na mazungumzo ya kikazi katika ofisi ndogo katika makazi ya waziri mkuu  jijini dar es salaam katika mazungumzo hayo alikuwepo waziri wanishati na madi mh Ngelej mwakilishi huyo alimpatia zawadi ya sanamu kutoka urusi picha pmo
                                      
                  WAZIRI MKUU NA MJUMBE MAALUM WA RAISI WA URUSI
Mh waziri mkuu Mizengo pinda amekutana na bwana Sevgei Kirienko mwakilishi wa raisi wa urusi na meneja mkuu wa kampuni ROSATAM kutoka nchini urusi walikuwa na mazungumzo ya kikazi katika ofisi ndogo katika makazi ya waziri mkuu  jijini dar es salaam katika mazungumzo hayo alikuwepo waziri wanishati na madi mh Ngelej mwakilishi huyo alimpatia zawadi ya sanamu kutoka urusi picha pmo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU