Tuesday, August 16, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA RASMI MAGHOROFA 30 YA KAMBI YA POLISI BARABARA YA KILWA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi yaliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Agost 16. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha (kulia) ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi, Dkt. Huba Nguluma, wakati wa uzinduzi wa majengo hayo uliofanyika leo Agosti 16 Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi yaliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Agost 16. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha (kulia) ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, baada ya kuwasili katika viwanja vya maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi Barabara ya Kilwa kwa ajili ya kuyazindua rasmi leo Agosti 16. Picha na Muhidin SufianiWasanii wa kikundi cha Kwaya cha Polisi, wakitoa burudani wakati wa sherehe za uzinduzi wa maghorofa 30 ya Kambi ya Pilisi Barabara ya Kilwa, yaliyozinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo Agosti 16. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Wasanii wa kikundi cha Kwaya cha Polisi, wakitoa burudani wakati wa sherehe za uzinduzi wa maghorofa 30 ya Kambi ya Pilisi Barabara ya Kilwa, yaliyozinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo Agosti 16. Picha na Muhidin Sufiani-OMRInspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo. Badhi ya maofisa wa jeshi la Pilisi waliohudhulia hafla hiyo ya uzinduzi, wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
Makamu wa Rais akizungumza wakati wa uzinduzi wa majengo 
Baadhi ya askari waliosimama mbele ni waandishi wa habari kutoka vyombo tofauti

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU