Monday, August 15, 2011

MASHINDANO YA GOFU YA WANAWAKE YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI YAANZA KATIKA VIWANJA VYA LUGARO

Nahodha wa gofu wa timu ya Tanzania akipandisha bendere kufungua mashindano ya Afrika mashariki na kati
Nahodha wa Kenya akipandisha bendera ya kenya               
             Nahodha wa Uganda akipandisha bendera ya Kenya
 Nahodha wa timu ya gofu kutoka Zambia akipandisha bendera ya Zambia
    Timu zinazoshiriki mashindano ya gofu ya wanawake ya Afrika mashariki na kati zikiwa katika bendera zao
      Timu shiriki nne zikiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mashindano ya gofu ya wanawake katika viwanja vya Lugaro
   Mkuu wa majeshi mstaafu GOERGE WAITARA  akipiga mpira kufungua mashindano ya gofu ya wanawake ya Afrika mashariki na kati yanayoshirikisha nchi za Kenya ,Uganda,Zambia na wenyeji wa mashindano TANZANIA mashindano hayo yatafungwa Augasti 18  mwaka huu

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU