Bondia Yohana Robart wa kambi ya Ilala akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na mtoto, Zainabu MHamila 'IKOTA' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi hiyo juzi
Sunday, August 21, 2011
MAFUZO YA NGUMI KWA WATOTO YAPAMBA MOTO
Kocha wa mchezo wa ngumi kondo Nassoro (kulia) akimwelekeza mtotoZainabu Mhamila 'IKOTA' jinsi ya kutupa masumbwi wakati wa mazoezi yakambi ya Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM Dar es salaam
Bondia Yohana Robart wa kambi ya Ilala akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na mtoto, Zainabu MHamila 'IKOTA' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi hiyo juzi
Bondia Yohana Robart wa kambi ya Ilala akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na mtoto, Zainabu MHamila 'IKOTA' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi hiyo juzi
0 maoni:
Post a Comment