Katibu mkuu wa BFT shirikisho la ngumi za ridhaa nchini akipokea milioni tatu kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa NSSF JUMA KINTU ikiwa ni msaada wa kuiandaa timu ya ngumi ya Taifa kwa Msumbiji kwenye mashindo ya ALL AFRICANS GAMES
Katibu mkuu wa riadhaa sULEIMAN NYAMBUI akipokea milioni tatu kutokaNSSF kwa ajili ya kuiandaa timu ya riadhaa kwenda Msumbiji
0 maoni:
Post a Comment