Thursday, August 4, 2011
WAZIRI ANAPOKUTANA NA BAADHI YA WABUNGE NJE YA BUNGE DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kaizungumza na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma , Augost 4, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 4, 2011. (Picha na OFisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Post a Comment