Tuesday, August 9, 2011
WAZIRI MKUU AKIWA NANENANE MOROGORO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza mtoto Oliver Stephene (9) akimwambia jambo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipokuwa akitembelea mabanda kwenye Kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane wa Mwalimu J. K. Nyerere Mjini Morogoro Augost 8, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza mtoto Oliver Stephene (9) akimwambia jambo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipokuwa akitembelea mabanda kwenye Kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane wa Mwalimu J. K. Nyerere Mjini Morogoro Augost 8, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua nyanya wakati alipotembelea banda la Water for the Thrd World katikaKilele cha maonyesho ya wakulama Nanenane kwenye uwanja wa Mwalimu J. K. Nyerere Mjini Morogoro Augost 8, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Post a Comment