Kocha wa netiboli Taifa MARY PROTAS ameomba kutafutiwa mechi za kirafiki kabla ya kwenda nchini Msumbiji kushiriki mashindano ya ALL AFRICANS GAMiES ,amesema hawezi kujua kikosi chake kinamapungufu gani iwapo hatapata mechi za kirafiki .
Tayari wachezaji wote kumi na sita wametinga kambini na wanaendelea na mazoezi kwa kuwaunganisha na wachezaji sita kutoka ZANZIBAR.
0 maoni:
Post a Comment