Wednesday, August 17, 2011

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo PInda  akisalimiana  na Makatibu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) wa kata za mkoa wa Mtwara kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 17,2011.  Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoa wa Mtwara, Anastazia Wambura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arusha  Mjini, Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost17,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto wanaotoka katika jimbo la Bumbuli, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma  Augost 17,2011.  Kulia kwake ni Mbunge wa Jimbo hilo, January Makamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU