Thursday, September 8, 2011

LUGHA GONGANA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA; HICHO NDICHO KISWANGLISH PURE

Hapo ndio mlango wa kuingia katika uwanja wa Ndege wa Kigoma ukisoma hayo maandishi utajua kinachoendelea ni nini!Wazungu wenyewe hawana tabu washakielewa kilichoandikwa wana furaha tele wakijiandaa kuingia.KAPINGAZ Blog inawaomba wahusika wa Uwanja huu warekebishe hayo maneno hapo wanajiaibisha na pia wanauaibisha uwanja huo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU