Monday, September 26, 2011
WAWEKEZAJI TOKA CHINA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bw. Liu Jianjun baada ya mazungumzo yake na Ujumbe wa Wawekezaji katika Kilimo na Bishara Ndogondogo ktika China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 26,2011Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bibi Wu Hong kutoka Ofisi ya Rais nchini China baada ya mazungumzo yake na Ujumbe wa Wawekezaji katika Kilimo na Bishara Ndogondogo ktika China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 26,2011
0 maoni:
Post a Comment