Monday, September 19, 2011

WAZIRI MKUU AKIWA MSOMA VIJIJINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Kasome wilaynai Musoma Vijijini baada ya kufungua bwni hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili Nyumbani kwake Mwitongo Butiama akiwa  katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU