Tuesday, September 13, 2011
WAZIRI MKUU AKIWA ZANZIBAR
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Seif Idd (kushoto) Mjini Zanzibar, Septemba 12, 2011. Mheshimiwa Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha vifo Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye makazi yake Gombani Zanzibar Septemba 12, 2011. Mheshimiwa Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha vifo
0 maoni:
Post a Comment