Maandamando ya pikipiki yaliyofanyika katika siku ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabara iliyofanyika kitafia katika mkoa wa kagera jumatatu 3/10/2011 iliyodhaminiwa mwaka huu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na ENGEN Tanzania
Bendi ya kakao ya mkoani kagera ikitumbuiza katika siku ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabara iliyofanyika kitafia katika mkoa wa kagera jumatatu 3/10/2011 iliyodhaminiwa mwaka huu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na ENGEN TanzaniaMwenyekiti wa Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kagesheki akimshukuru Meneja wa kanda ya ziwa wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Ally Maswanya kwa kuwa mdhamini mkuu wa kampeni ya usalama barabara kwa mwaka huu 2011, haya yalifanyika katika halfa ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabarani iliyofanyika katika mkoa wa kagera wiki hii na kuudhuriwa na mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande (kati) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani masawe (wakwanza kushoto). wadhani wakuu wa mwaka huu ni kampuni ya simu za mkononi ya Airtel na kampuni ya mafuta ENGEN TanzaniaMbele ni Meneja wa kanda ya ziwa wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Ally Maswanya akipokea cheti maalum kwa airtel kwa ushiriki na shukrani toka kwa kamati na jeshi la usalama barabarani kwa Airtel kuwa mdhamini mkuu wa kampeni ya usalama barabara kutoka kwa mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande katika halfa ya ufunguzi wa wiki ya usalama barabarani iliyofanyika kitaifa katika mkoa wa Kagera wiki hii, wakwanza kulia pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kageshek
0 maoni:
Post a Comment