Sunday, October 30, 2011

HARAMBEE ST. PETERS

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha simu ya Bw. Leonard Kapinga (kulia) ambayea liitoa ili inadiwe katika harambee ya siku ya mavunokwenye kanisa la Mtakatifu Petro Mjini Dar es salaam Oktoba 30, 2011.Simu hiyo iligombolewa na waliohudhuria kwenye harambee hiyo na kurudishwa kwa mwenyewe gharama ya sh. 522,000/. Kushoto ni Paroko wa Kanisa la Mtakatifu Petro,Padri  Joseph Mosha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa katika picha  ya pamoja na watoto waliochangia katika harambee ya siku ya mavuno ya kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Oktoba 10,2011.  Kushoto kwake ni paroko wa kanisa hilo,Padri  Joseph Mosha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na watoto baada ya kuongoza harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es saalaa, Oktoba 30,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU