Sunday, October 30, 2011

NBC SUPPORTS DUCE

  Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo Kikuu
Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof.  Salome Misana
zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la
Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Katikati ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (wa
pili kushoto) na Naibu Mkuu wa Chuo Utawala, Prof. Bavo Nyichomba.
Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo Kikuu
Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof.  Salome Misana
zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la
Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Katikati ni Meneja Mahusiano wa NBC, Robi Matiko-Simba (wa pili
kushoto)  na Naibu Mkuu wa Chuo Utawala, Prof. Bavo Nyichomba.
Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Naibu Mkuu wa Chuo
Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof. Bavo Nyichomba
zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la
Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Katikati ni Meneja Mahusiano wa NBC, Robi Matiko-Simba (wa pili
kushoto)  na Mkuu wa chuo hicho, Prof. Salome Misana.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo Kikuu
Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof.  Salome Misana
zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la
Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (wa pili
kushoto waliokaa), Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus
Masanja (kushoto waliokaa) Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar
es Salaam (DUCE), Prof.  Salome Misana (kushoto kwa Robi) wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya walimu wa chuo hicho katika hafla
ambayo NBC ilikabidhi hundi ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa jengo
la maabara la Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE.
Hafla ya makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU