Sunday, October 23, 2011

JONAS SEGU, DEO NJIKU WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUZIDUNDA JUMAPILI HII MOROGORO


kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach'  katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu  wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU