Sunday, October 16, 2011
MPAND UWEKEZAJI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua madini yanayochimbwa Mpanda wakati alipotembelea banda la TPM MINING COMPANY LIMITED katika maonyesho yatakayoambatana na uzinduzi wa mkutano wa uwekezaji unaotarajiwa kufunhuliwa na Rais Jakaya Kikwete Mjini Mpanda October 17,2011. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waandishi wa Habari Mjini Mpanda baada ya kukagua maandalizi ya mkutano wa Uwekezaji unaotarajiwa kufunguliwa na Rais Kikwete Mjini Mpanda October 17,2011. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya.
0 maoni:
Post a Comment