Saturday, October 15, 2011
TIMU YA WANAUME URUNANI KUTOKA BURUNDI YATWAA UBINGWA WA KIKAPU KANDA YA TANO
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Leonard Thadeo (kushoto) akimkabidhi kombe la ubingwa wa mashindano ya kanda ya tano ya mchezo wa mpira wa kikapu kwa wanaume nahodha wa timu ya Urunani ya Burundi, Fabrice Sindayigaya baada kuifunga timu ya Co-Operative Bank ya Kenya kwa Point 69-61 katika mchezo wa fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es SalaamPicha ya pamoja ya timu ya wanaume na wanawake kutoka BURUNDI timu hizimeshiriki kwa mara ya kwanza mashindano haya ya kanda ya tano ya Afrika mashariki na kati na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano haya.
0 maoni:
Post a Comment