Wednesday, October 26, 2011

SABODO ATOA MSAADA WA KUCHIMBA VISIMA - SINGIDA MJINI


NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati (kushoto), akikabidhi hundi ya sh. milioni 70 kwa mwakilishi wa kampuni ya PNR Services Limited, Dasharath Reddy zilizotolewa msaada na mfanyabiashara Jaffer Sabodo kwa ajili ya kuchimba visima 10 vya maji katika Jimbo la Singida Mjini, mkoani Singida. Katikati ni mwakilishi wa Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji, Esther,Dotto nyumbani kwa mfanyabiashara huyo, Upanga, Dar es salaam, Oktoba 20, 2011.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU