Sunday, October 23, 2011

UDSM MIAKA 50

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mtaifa, Dr. Asha -Rose Migiro (kulia) akiwa na mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika Chuoni hapo, Mlimani jijini Dar es salaam, October 22,  2011.
 Makamu wa Rais, Dr. Ghalb Bilal akimkabidhi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda cheti cha heshima  kutokana na mchango wake katika maendeleo ya Jamii akiwa ni mmoja wa wahitimu wa shieria katika kilele cha sherehe za miaka 50 ya Chuo  Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika Chuoni hapo October 22,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU