Monday, November 21, 2011

BENKI YA NIC YADHAMINI MASHINDANO YA GOFU

 Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NIC Tanzania, James Muchiri (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mikopo wa benki hiyo Bi Regina Mwengi, Prisalla Karobia na David Muthungu kabla ya kuanza kwa michuano ya gofu iliyoandaliwa na Lions Club na kufanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5.
Priscilla Karobia ambaye ni mmoja ya wanacahama wa Kalbu yak Gymkhana akiangalia mpira baaada ya kuupiga wakati wa Mashindano ya Gofu yaliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana ili kusaidia watu wenye matatizo ya kuona ambapo benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5
 Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NIC Tanzania, James Muchiri akiangalia mpira baaada ya kuupiga wakati wa Mashindano ya Gofu yaliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana ili kusaidia watu wenye matatizo ya kuona ambapo benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5
 David Muthungu mmoja ya wachezaji wa gofu akiangalia mpira baaada ya kuupiga wakati wa Mashindano ya Gofu yaliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana ili kusaidia watu wenye matatizo ya kuona ambapo benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NIC Tanzania akiwemo Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NIC Tanzania, James Muchiri (Katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanachama Lions Club wakati wa michuano ya Gofu iliyofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam ili kusaidia watu wenye matatizo ya macho. Benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU