Monday, November 28, 2011

DIANA WOMEN NA TAMASHA LA WANARUKWA

Mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakia Bilal akizungumza katika tamasha la utamaduni wa watu wa Mikoa ya Rukwa na Katavi lililomalizika kwenye kijiji cha Makumbusho,Novemba 27,2011.  Watatu kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na kushoto ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Idd. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya
 Mke wa Waziri akimlisha keki ,Sammy Abyamana katika chakula cha jioni cha kuwaaga wahitimu waliofadhiliwa na kikundi cha Diana Women Empowerment Organization kwenye hoteli ya  `urban Rose jijini Dar es salaam Novemba 26,2011. Kulia ni Mwenyekiti wa Kikunsi hicho Mama Diana
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika chakula cha jioni cha kuwaaga wahitimu waliofadhiliwa na kikundi cha  Diana Women Empowerment Organization kilichoandaliwa kwenye hoteli ya Urban Rose jijini Dar es salaam Novemba 26,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU