Monday, November 28, 2011

MVUA YAKATA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA ARUSHA NA KARATU




Wananchi pamoja na watalii wanaotumia barabara inayo unganisha arusha na karatu leo wamekwama baada ya mto kirurumo uliopo mto wa mbu kukata barabara na kujaza mawe njiani vilele kwa mujibu wa wananchi waeneo hilo inasemekana mtu mmoja amepoteza maisha mto huo umefurika baada ya mvua kubwa iliyo nyesha usiku wa kuamkia leo picha chris mfinanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU