Thursday, November 10, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAJADILIANO YA MKUTANO WA UWEKEZAJI WA CHAKULA NA KILIMO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof.  Jumanne Maghembe, baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza kwa ajili ya kuongoza majadiliano ya mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, wakati walipokuwa akiongoza Mkutano wa   Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Jumanne Maghembe, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mohamed Muya, akizungumza wakati wa mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam
:- Makau wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na kilimo, baada ya kuongoza mkutano huo leo Novemba 10, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU