Thursday, November 10, 2011

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Shirikisho la Urusi leo

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana  na kuongea naeleo Ikulu jijini Dar es salaam. Katikati ni mkalimani Bw Nikita Rassokhin.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU