Tuesday, November 1, 2011

MPANGO WA UHAMASISHAJI UWAZI KATIKA MAPATO YA MADINI GESI ASILIA NA PETROLI


   Mwenyekiti wa secritariat ya mpango wa uhamasishaji uwazi katika mpato ya madini na gesi asili na petroli
Jaji Marck bomani akifungua warsha ya vyama vya kijamii juu ya kubaini maeneo ya kusaidiwa na bank ya dunia ili kuwezesha ili kuwezesha ushiriki wao katika mpango wa kuhamasisha uwazi katika tasnia ya uziduaji  kushoto kwake ni bibi  Kattie Heller kutoka ofisi ya bank ya dunia tanzania na Christopher sheldon kutoka bank ya dunia washington dc

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU