Tuesday, November 1, 2011

STANDARD CHARTERED BANK CEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard  Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (katikati) na Ofisa Mtendaji  Mkuu wa Benki hiyo nchini  Jeremy Awori kabla ya mazungungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Novemba 1,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard  Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (kulia) na Ofisa Mtendaji  Mkuu wa Benki hiyo nchini  Jeremy Awori  Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 1,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU