Friday, November 11, 2011

RASHDI MATUMLA NA MANENO OSWARD ULINGONI

MABONDIA Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ wanatarajia kupanda ulingoni  kuzichapa Desemba 25  mwaka huu katika pambano lisilo la ubingwa.

Pambano hilo linatarajia kuwa  la raundi 10 uzito wa kati  litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Heinken, Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU