Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Pool,Godfrey Mhando akijiandaa kupiga mpira katika mchezo uliochezwa usiku huu kwenye ukumbi wa Bar ya Songambele jijini Arusha dhidi ya timu ya Mkoani humo,ambapo Timu ya Taifa imeendelea kujidhihirishia kuwa haina mpinzani katika timu zote za mikoa mara baada ya kuichapa timu ya Arusha bao 13-6.
Mchezaji wa Timu ya Pool ya Mkoa wa Arusha,Brown Mamuya akiwa amejiweka sawa kabisa kupiga mpira wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Pool ya Taifa iliyochezwa usiku huu katika ukumbi wa Bar ya Songambele jijini Arusha.Timu ya Taifa imeshinda bao 13-6.
Mchezaji wa Timu ya Pool ya Mkoa wa Arusha,Boniface John akitaka kupiga mpira wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Pool ya Taifa iliyochezwa usiku huu katika ukumbi wa Bar ya Songambele jijini Arusha.Timu ya Taifa imeshinda bao 13-6.
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Pool,Mohamed Iddy akijiandaa kupiga mpira katika mchezo uliochezwa usiku huu katika ukumbi wa Bar ya Songambele jijini Arusha dhidi ya timu ya Mkoani humo,ambapo Timu ya Taifa imeendelea kujidhihirishia kuwa haina mpinzani katika timu zote za mikoa mara baada ya kuichapa timu ya Arusha bao 13-6.
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Pool,Omary Akida akijiandaa kupiga mpira katika mchezo uliochezwa usiku huu kwenye ukumbi wa Bar ya Songambele jijini Arusha dhidi ya timu ya Mkoani humo,ambapo Timu ya Taifa imeendelea kujidhihirishia kuwa haina mpinzani katika timu zote za mikoa mara baada ya kuichapa timu ya Arusha bao 13-6.
0 maoni:
Post a Comment