Tuesday, December 13, 2011
BALOZI WA UTURUKI , BAISKELI YA WALEMAVU
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua baiskeli ya miguu mitatu iliyotengezwa na na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) kwa ajili ya walemavu na ambayo baada ya kuikagua alishauri ifanyiwe majaribio kabla ya kuzalisha nyingi.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Mike Laizerna kushoto ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dar es salaam, Hamwel Meena na wapili kushoto ni Ofisa wa Ufundi wa SIDO, Mina Nchimbi.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua baiskeli ya miguu mitatu iliyotengezwa na na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) kwa ajili ya walemavu na ambayo baada ya kuikagua alishauri ifanyiwe majaribio kabla ya kuzalisha nyingi.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Mike Laizerna kushoto ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dar es salaam, Hamwel Meena na wapili kushoto ni Ofisa wa Ufundi wa SIDO, Mina Nchimbi.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua baiskeli ya miguu mitatu iliyotengezwa na na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) kwa ajili ya walemavu na ambayo baada ya kuikagua alishauri ifanyiwe majaribio kabla ya kuzalisha nyingi.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Mike Laizerna kushoto ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dar es salaam, Hamwel Meena na wapili kushoto ni Ofisa wa Ufundi wa SIDO, Mina Nchimbi. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kimkabidhi zawadi ya picha ya Pundamilia Balozi wa Uturuki nchini Dr. Sander Gurbuz ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Desemba 13, 2011 kuaga.
0 maoni:
Post a Comment