Thursday, December 1, 2011
BUSH ATUA JIJINI DSM NA KUKUTANA NA RAIS KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani Ikulu jijini Dar es salaam leo.
0 maoni:
Post a Comment