Friday, December 16, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA HALI YA SIASA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, leo Desemba 16,  ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia mkutano huo ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali  ya Saiasa, kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET, ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Sud Said, leo Desemba 16  wakati akiagana na wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa hali ya Siasa Tanzania, unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU