Friday, December 16, 2011

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO ZA SUPERBRADS KWA MAKAMPUNI YALIYOFANYA VIZURI MWAKA 2011.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkbidhi Tuzo, Mkurugenzi Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Charls Kimei, wakati wa hafla ya kukabidhi Tuzo za Super Brand kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana Desemba 15. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad JafferMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Ephraem Mafuru, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana Desemba 15. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Fm, Joseph Kusaga, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana Desemba 15. Katikati ni Mkurugenzi wa SuperbrandsMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni wa Simu za mkononi Vodacom, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer (kulia) ni Ofisa Matangazo wa  Vodacom, Joseline Kamuhanda
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Hafla ya kukabidhi  Tuzo za Super Brand, kwa Makampuni yaliyofanya vizuri  kwa mwaka 2011. Hafla hiyo ilifanyika jana jioni Desemba 15 jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Kitabu cha Superbrands, kutoka kwa Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer, baada ya kumalizika kwa zoezi la kukabidhi tuzo hizo wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana jioni Desemba 15. Kushoto ni waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Mary Nagu

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU